Tuesday, January 20, 2009

Prezida Obama na Waifu baada ya kuapishwa


Baada ya kuapishwa Prezident Obama akinengua na waifu miondoko ya muziki laiiiiiiniiiii......


Mambo ndio yameanza, kazi kubwa inamsubiri, na ana mzigo mzito wa kuwatengenezea raia wake njia ya kuelekea kwenye maisha bora espesheli ukizingatia ameachiwa li'nchi ikiwa katika hali ngumu ya kiuchumi.....


Kwa ufupi, Mzee mzima Bush alichemsha na ameliacha taifa kubwa, taifa nene katika "chaka" au tuliite "bushi" zito..kwee kwee kweee!!! Hivyo Prezida namba 44 inabidi afanye mamboz kurekebisha na kulikomboa taifa hilo. Kudadeki....tusubirie kuona Mzee mwenyewe Obama, kwa Baraka, atakavyowabam(b)a mafisadi na kuweka mambo sawa huko mbeleni....kwee kweee kweee!!

No comments:

Post a Comment